\v=13 \v~=Wewe kaa hapa usiku huu, kisha asubuhi kama akikubali kukomboa, vyema na akomboe. La sivyo kama hayuko tayari, hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo nitafanya hivyo. Lala hapa mpaka asubuhi.” \¬v \¬p