\v=14 \v~=Wanawake wakamwambia Naomi: “Ahimidiwe \nd Bwana\nd*, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote! \¬v