\p \v=16 \v~=Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. \¬v