\p \c#=10 \v=1 \v~=Ndipo Samweli akachukua chupa ndogo ya mafuta na kuyamimina juu ya kichwa cha Sauli, akambusu, akisema, “Je, \nd Bwana\nd* hakukutia mafuta uwe kiongozi juu ya watu wake Israeli? \¬v