\v=18 \v~=naye akawaambia, “Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli: ‘Niliwatoa Israeli kutoka Misri, nami niliwaokoa toka nguvu za Misri na falme zote zilizowaonea.’ \¬v