\v=19 \v~=Lakini sasa mmemkataa Mungu wenu, ambaye anawaokoa toka katika maafa yenu yote na taabu zenu zote. Nanyi mmesema, ‘Hapana, tuteulie mfalme atutawale.’ Sasa basi, jihudhurisheni wenyewe mbele za \nd Bwana\nd* kwa kabila zenu na kwa koo zenu.” \¬v \¬p