\v=24 \v~=Samweli akawaambia watu wote, “Je, mnamwona mtu ambaye \nd Bwana\nd* amemchagua? Hayupo aliye kama yeye miongoni mwa watu wote.” \¬p \p \p~<