\p \v=25 \v~=Samweli akawaeleza watu madaraka ya ufalme. Akayaandika kwenye kitabu na kuweka mbele za \nd Bwana\nd*. Kisha Samweli akawaruhusu watu, kila mmoja aende nyumbani kwake. \¬v \¬p