\v=6 \v~=Roho wa \nd Bwana\nd* atakuja juu yako kwa nguvu, nawe utatoa unabii pamoja nao; nawe utageuzwa kuwa mtu wa tofauti. \¬v