\v=15 \v~=Kwa hiyo watu wote wakaenda Gilgali na kumthibitisha Sauli kuwa mfalme mbele za \nd Bwana\nd*. Huko wakatoa dhabihu za sadaka za amani mbele za \nd Bwana\nd*, naye Sauli na Waisraeli wote wakafanya karamu kubwa. \¬v \¬p \¬c