\v=11 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akawatuma Yerub-Baali,\f + \fr 12:11 \ft Yerub-Baali pia aliitwa Gideoni.\f* Baraka, Yefta na Samweli, naye akawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu kila upande, ili ninyi mpate kukaa salama. \¬v \¬p