\p \v=12 \v~=“Lakini mlipomwona yule Nahashi mfalme wa Waamoni anakuja dhidi yenu, mliniambia, ‘Hapana, tunataka mfalme atutawale,’ hata ingawa \nd Bwana\nd* Mungu wenu alikuwa mfalme wenu. \¬v