\v=14 \v~=Kama mkimcha \nd Bwana\nd* na kumtumikia na kumtii nanyi msipoasi dhidi ya amri zake, ninyi pamoja na mfalme anayetawala juu yenu mkimfuata \nd Bwana\nd*, Mungu wenu, mambo yatakuwa mema kwenu! \¬v