\v=15 \v~=Lakini kama hamkumtii \nd Bwana\nd*, nanyi kama mkiasi dhidi ya amri zake, mkono wake utakuwa dhidi yenu, kama ulivyokuwa dhidi ya baba zenu. \¬v \¬p