\v=17 \v~=Je, sasa si mavuno ya ngano? Nitamwomba \nd Bwana\nd* ili alete ngurumo na mvua. Nanyi mtatambua jambo hili lilivyo baya mlilolifanya mbele za macho ya \nd Bwana\nd* mlipoomba mfalme.” \¬v \¬p