\p \v=18 \v~=Kisha Samweli akamwomba \nd Bwana\nd*, na siku ile ile \nd Bwana\nd* akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana \nd Bwana\nd* na Samweli. \¬v \¬p