\p \v=19 \v~=Watu wote wakamwambia Samweli, “Mwombe \nd Bwana\nd* Mungu wako kwa ajili ya watumishi wako, ili tusije tukafa, kwa kuwa tumeongeza uovu juu ya dhambi zetu nyingine kwa kuomba mfalme.” \¬v \¬p