\v=23 \v~=Kwa habari yangu, iwe mbali nami kutenda dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd* kwa kushindwa kuwaombea. Mimi nitawafundisha njia iliyo njema na ya kunyooka. \¬v