\v=24 \v~=Lakini hakikisheni mnamcha \nd Bwana\nd* na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu. \¬v