\p \v=6 \v~=Kisha Samweli akawaambia watu, “\nd Bwana\nd* ndiye alimchagua Mose na Aroni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri. \¬v