\v=7 \v~=Sasa basi, simameni hapa, kwa sababu nitakabiliana nanyi kwa ushahidi mbele za \nd Bwana\nd* wa matendo yote ya haki yaliyofanywa na \nd Bwana\nd* kwenu na kwa baba zenu. \¬v \¬p