\p \v=8 \v~=“Baada ya Yakobo kuingia Misri, walimlilia \nd Bwana\nd* kwa ajili ya msaada, naye \nd Bwana\nd* akawatuma Mose na Aroni, ambao waliwatoa baba zenu kutoka Misri na kuwakalisha mahali hapa. \¬v \¬p