\p \v=9 \v~=“Lakini wakamsahau \nd Bwana\nd* Mungu wao, hivyo Mungu akawauza katika mkono wa Sisera, jemadari wa jeshi la Hazori na katika mikono ya Wafilisti na mfalme wa Moabu, ambaye alipigana dhidi yao. \¬v