\v=21 \v~=Bei ilikuwa fedha theluthi mbili za shekeli\f + \fr 13:21 \ft Theluthi mbili za shekeli za fedha ni sawa na gramu 8.\f* kunoa majembe ya plau na majembe ya mkono, na theluthi moja ya shekeli\f + \fr 13:21 \ft Theluthi moja ya shekeli ya fedha ni sawa na gramu 4.\f* kwa nyuma, mashoka na michokoo. \¬v \¬p