\p \v=16 \v~=Wapelelezi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaona jeshi likitokomea pande zote. \¬v