\v=34 \v~=Kisha Sauli akasema, “Nendeni miongoni mwa watu, mwaambie, ‘Kila mmoja wenu aniletee ngʼombe wake na kondoo, mwachinjie hapa na mle. Msitende dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd* kwa kula nyama ikiwa na damu ndani yake.’ ” \¬p \p \p~<