\v=39 \v~=Kwa hakika kama \nd Bwana\nd* aiokoaye Israeli aishivyo, hata kama itakuwa juu ya mwana wangu Yonathani, ni lazima afe.” Lakini hakuna mtu yeyote aliyesema neno. \¬v \¬p