\p \v=41 \v~=Kisha Sauli akamwomba \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, akisema, “Nipe jibu lililo sawa.” Yonathani na Sauli wakatolewa kwa kura, nao watu wakawa salama. \¬v