\v=11 \v~=“Ninasikitika kwamba nimemfanya Sauli kuwa mfalme, kwa sababu ameacha kunifuata mimi na hakutimiza maagizo yangu.” Samweli akafadhaika, naye akamlilia \nd Bwana\nd* usiku ule wote. \¬v \¬p