\p \v=13 \v~=Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “\nd Bwana\nd* akubariki! Nimetimiza yale \nd Bwana\nd* aliniagiza.” \¬v \¬p