\p \v=17 \v~=Samweli akamwambia, “Ingawa zamani ulijiona mdogo machoni pako mwenyewe, Je, hukuwa kiongozi wa kabila za Israeli? \nd Bwana\nd* alikutia mafuta kuwa mfalme juu ya Israeli. \¬v