\p \v=20 \v~=Sauli akasema, “Lakini nilimtii \nd Bwana\nd*. Nilikamilisha ile kazi ambayo \nd Bwana\nd* alinituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao. \¬v