\p \v=24 \v~=Ndipo Sauli akamwambia Samweli, “Nimetenda dhambi. Nimevunja amri ya \nd Bwana\nd* na maagizo yako. Niliwaogopa watu na kwa hiyo nikafanya walivyotaka. \¬v