\p \v=26 \v~=Lakini Samweli akamwambia, “Sitarudi pamoja nawe. Umelikataa neno la \nd Bwana\nd*, naye \nd Bwana\nd* amekukataa wewe, usiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli!” \¬v \¬p