\v=28 \v~=Samweli akamwambia, “\nd Bwana\nd* ameurarua ufalme wa Israeli kutoka kwako leo, naye ameutia kwa mmoja wa majirani zako, aliye bora kuliko wewe. \¬v