\v=35 \v~=Hadi siku Samweli alipofariki hakwenda kumwona Sauli tena, ingawa Samweli alimwombolezea. Naye \nd Bwana\nd* alihuzunika kwamba alimfanya Sauli kuwa mfalme juu ya Israeli. \¬v \¬p \¬c