\p \v=13 \v~=Basi Samweli akachukua ile pembe ya mafuta na kumtia mafuta mbele ya ndugu zake, kuanzia siku ile na kuendelea Roho wa \nd Bwana\nd* akaja juu ya Daudi kwa nguvu. Kisha Samweli akaenda zake Rama. \¬v \¬p