\p \v=4 \v~=Samweli akafanya kile \nd Bwana\nd* alichosema. Alipofika Bethlehemu, wazee wa mji wakatetemeka walipomlaki. Wakauliza, “Je, umekuja kwa amani?” \¬v \¬p