\p \v=5 \v~=Samweli akajibu, “Ndiyo, kwa amani; nimekuja kumtolea \nd Bwana\nd* dhabihu. Jiwekeni wakfu na mje kwenye dhabihu pamoja nami.” Ndipo akamweka Yese wakfu pamoja na wanawe na kuwaalika kwenye dhabihu. \¬v \¬p