\p \v=6 \v~=Walipofika, Samweli akamwona Eliabu, naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd* anasimama hapa mbele za \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p