\p \v=7 \v~=Lakini \nd Bwana\nd* akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. \nd Bwana\nd* hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini \nd Bwana\nd* hutazama moyoni.” \¬v \¬p