\p \v=8 \v~=Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu \nd Bwana\nd* hakumchagua.” \¬v