\p \v=17 \v~=Wakati huo Yese akamwambia mwanawe Daudi, “Chukua hii efa\f + \fr 17:17 \ft Efa moja ni sawa na kilo 22.\f* ya bisi na hii mikate kumi kwa ajili ya ndugu zako uwapelekee upesi kambini mwao. \¬v