\p \v=4 \v~=Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja.\f + \fr 17:4 \ft Dhiraa sita na shibiri moja ni sawa na mita 3, au futi 9 na inchi 8.\f* \¬v