\p \v=45 \v~=Daudi akamwambia yule Mfilisti. “Wewe unanijia na upanga, mkuki na fumo, lakini mimi ninakujia kwa jina la \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa majeshi ya Israeli, ambaye wewe umemtukana. \¬v