\v=5 \v~=Alikuwa na chapeo ya shaba kichwani mwake, na alivaa dirii ya shaba kifuani mwake yenye uzito wa shekeli elfu tano.\f + \fr 17:5 \ft Shekeli 15,000 ni sawa na kilo 50.\f* \¬v