\v=7 \v~=Mpini wa huo mkuki ulikuwa kama mti wa mfumaji, na ncha ya chuma yake ilikuwa na uzito wa shekeli mia sita.\f + \fr 17:7 \ft Shekeli 600 ni sawa na kilo 7.\f* Mbeba ngao wake alitangulia mbele yake. \¬v \¬p