\p \v=12 \v~=Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu \nd Bwana\nd* alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye. \¬v