\v=12 \v~=Basi Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka. \¬v