\v=5 \v~=Alihatarisha maisha yake alipomuua yule Mfilisti. \nd Bwana\nd* akajipatia ushindi mkubwa kwa ajili ya Israeli wote, nawe uliuona na ukafurahi. Kwa nini basi utende mabaya kwa mtu asiye na hatia kama Daudi kwa kumuua bila sababu?” \¬v \¬p